Simulizi kuhusu urithi wa kale--Hitimisho

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 25, 2025

Kila siku nzuri inategemea mavazi, vyakula, makazi, na usafiri. Kufungua pazia la historia, kugusa michoro ya ustaarabu, kila wakati unasimuliza kuhusu kila "wewe" na "mimi", na siku nzuri ya sisi.

Mfululizo wa video wa "Simulizi kuhusu urithi wa kale" utatoa simulizi kuhusu urithi wa kale na utamaduni wa China na nchi nyingine mbalimbali. Video hii ni ya mwisho inayohitimisha mfululizo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha