

Lugha Nyingine
Kijiji cha Aojiao, China: Wavuvi warejea kutoka kwenye uvuvi na mavuno mengi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 02, 2025
Mchana wa Alhamisi wiki iliyopita, boti za uvuvi zilizopakiwa samaki wa baharini zilirudi kwenye gati la Kijiji cha Aojiao, na wavuvi walikuwa na pilika nyingi za kuchambua samaki ambao walikuwa wamewavua punde tu.
Kijiji hicho cha Aojiao ni kijiji cha wavuvi kinachopatikana katika Wilaya ya Dongshan, Mji wa Zhangzhou wa Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China. Kimezungukwa na bahari katika pande tatu, na kina mandhari nzuri sana.
(Yuan Meng, Cui Yue, Zhang Wenjie, Zhang Zeyu)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma