Wilaya ya Dongshan, Fujian: Chanzo cha 60% ya abalone wanaofugwa nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2025

Wilaya ya Dongshan iliyoko Mkoa wa Fujian ni kituo muhimu cha China cha ufagaji na uzalianaji wa abalone, ikiwa na mashamba mengi ya ufugaji na uzalianaji wa abalone. Karibu asilimia 60 ya abalone wanaofugwa nchini China hutoka hapa.

(Yuan Meng, Cui Yue, Zhang Wenjie, Zhang Zeyu)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha