Waziri Mkuu wa China ahudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 80 tangu kuanzishwa WPK

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2025

Waziri Mkuu wa China Li Qiang, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akitazama magwaride ya kijeshi mjini Pyongyang, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK), Oktoba 10, 2025. (Xinhua/Shen Hong)

Waziri Mkuu wa China Li Qiang, ambaye pia ni Mjumbe wa Kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akitazama magwaride ya kijeshi mjini Pyongyang, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu ya Korea (DPRK), Oktoba 10, 2025. (Xinhua/Shen Hong)

PYONGYANG - Waziri Mkuu wa China Li Qiang amehudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 80 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Workers cha Korea (WPK), zilizofanyika Alhamisi na Ijumaa mjini Pyongyang, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu ya Korea (DPRK) na kutazama maonyesho makubwa ya jimnastiki ya watu wengi, maonyesho ya kisanii na magwaride ya kijeshi.

Pembezoni mwa shughuli hiyo, Li, ambaye pia ni Mjumbe wa Kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), alifanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Vietnam To Lam, Mwenyekiti wa Chama cha United Russia na Naibu Mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia Dmitry Medvedev, na wengine.

Waziri Mkuu wa China Li Qiang, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akihudhuria hafla ya sherehe na kutazama maonyesho makubwa ya jimnastiki ya watu wengi, maonyesho ya kisanii na magwaride ya kijeshi mjini Pyongyang, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK), Oktoba 9, 2025. (Xinhua/Huang Jingwen)

Waziri Mkuu wa China Li Qiang, ambaye pia ni Mjumbe wa Kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), akihudhuria hafla ya sherehe na kutazama maonyesho makubwa ya jimnastiki ya watu wengi, maonyesho ya kisanii na magwaride ya kijeshi mjini Pyongyang, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu ya Korea (DPRK), Oktoba 9, 2025. (Xinhua/Huang Jingwen)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha