Lugha Nyingine
Hatua zatekelezwa kuhakikisha wakazi wanaendelea kupata joto wakati wa majira ya baridi katika Mji wa Yinchuan, China

Mfanyakazi wa kampuni ya mfumo wa kuleta joto akipima halijoto ya ndani ya nyumba moja ya wakazi katika Eneo la Jinfeng la Mji wa Yinchuan, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, kaskazini magharibi mwa China, Novemba 18, 2025. (Xinhua/Yang Zhisen)
Kutokana na athari ya hali ya hewa ya baridi, kampuni za mfumo wa kuleta joto katika Eneo la Jinfeng la Mji wa Yinchuan, zimetekeleza hatua kama vile udhibiti sahihi wa mfumo wa kuleta joto na ukaguzi wa kina wa mabomba ya maji joto ili kuhakikisha wakazi wanaendelea kupata hali joto wakati wa majira ya baridi.

Wafanyakazi wakikagua zana na vifaa vya mfumo wa kuleta joto kwenye kampuni ya mfumo wa kuleta joto katika Mji wa Yinchuan, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, kaskazini magharibi mwa China, Novemba 18, 2025. (Xinhua/Yang Zhisen)

Wafanyakazi wakifuatilia zana na vifaa vya mfumo wa kuleta joto kwenye kampuni ya mfumo wa kuleta joto katika Mji wa Yinchuan, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, kaskazini magharibi mwa China, Novemba 18, 2025. (Xinhua/Yang Zhisen)

Wafanyakazi wakikagua zana na vifaa vya mfumo wa kuleta joto kwenye kampuni ya mfumo wa kuleta joto katika Mji wa Yinchuan, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, kaskazini magharibi mwa China, Novemba 18, 2025. (Xinhua/Yang Zhisen)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma