Lugha Nyingine
Ujenzi wa Maonesho ya 27 ya Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin waanza rasmi Kaskazini Mashariki mwa China

Mashine ikibeba michemiraba ya barafu kwenye eneo la kuhifadhi barafu kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, Novemba 24, 2025. (Xinhua/Xie Jianfei)
Bustani ya Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin, ambayo ni bustani maarufu ya utalii wa mandhari ya wakati wa majira ya baridi katika Mji wa Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, itaanza kujengwa rasmi leo Jumanne, Novemba 25 kwa mwaka huu.

Wafanyakazi wakiondoa vitu vilivyofunika juu ya michemiraba ya barafu kwenye eneo la kuhifadhi barafu kwa ajili ya ujenzi wa Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, Novemba 24, 2025. (Xinhua/Xie Jianfei)

Picha iliyopigwa Novemba 24, 2025 ikionyesha wafanyakazi wakiondoa vitu vilivyofunika juu ya michemiraba ya barafu kwenye eneo la kuhifadhi barafu kwa ajili ya ujenzi wa Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China. (Xinhua/Xie Jianfei)

Mfanyakazi akiondoa vitu vilivyofunika juu ya michemiraba ya barafu kwenye eneo la kuhifadhi barafu kwa ajili ya ujenzi wa Dunia ya Barafu na Theluji ya Harbin katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, Novemba 24, 2025. (Xinhua/Xie Jianfei)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



