Lugha Nyingine
Shanghai: Mji Wenye Nguvu Hai
Nguvu hai ni ladha mbalimbali kwenye kinywa chako. Ni mdundo usiokwisha wa mitindo na urahisi wa kufanya mambo. Nguvu hai ni pale tamaduni za Mashariki na Magharibi zinapokutana na kuungana. Ni ubunifu na mustakabali, kukua kwa uhuru. Nguvu hai ni msukumo mkubwa wa uchumi wa mjini.
Leo Machi 6, "Shanghai: Mji Wenye Nguvu Hai," video fupi ya kutangaza mji iliyoandaliwa kwa pamoja na Ofisi ya Habari ya Mji wa Shanghai na People's Daily Online Tawi la Shanghai, imezinduliwa rasmi, ikitoa mazingira mbalimbali juu ya namna mji huo unavyoelezea nguvu hai.

Sikukuu ya Jadi ya Taa ya China yasherehekea mkoani Zhejiang

Kupatwa kwa mwezi kikamilifu kwashuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini China

"Tamasha la Maolong" la kabila la Wayilao lasherehekewa kwa ngoma ya dragoni mkoani Guizhou, China

Mji mkongwe wa Wuzhen, China wazindua shughuli mbalimbali wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma