Lugha Nyingine
Kituo kinachofuata: China katika mwaka 2030!
Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, China itajitahidi kupata maendeleo makubwa katika maendeleo ya sifa bora; kupata maboresho makubwa ya uwezo wa kujitegemea na nguvu katika sekta ya sayansi na teknolojia; kupata mafanikio mapya katika kufanya mageuzi kwa kina zaidi na kwa pande zote; kushuhudia maendeleo dhahiri ya kitamaduni na kimaadili katika jamii nzima; kuleta maboresho zaidi katika ubora wa maisha; kupiga hatua kubwa mpya katika kuendeleza Mpango wa China Inayopendeza; na kupata maendeleo zaidi katika kuimarisha ngao ya usalama wa taifa.
Kwa kujenga juu ya misingi imara wa kipindi cha Mpango wa 15 wa Miaka Mitano (2026-2030), na kuendelea kujitahidi hadi kufikia mwaka 2035, nguvu ya kiuchumi ya China, uwezo wake wa kisayansi na kiteknolojia, uwezo wake wa ulinzi wa taifa, nguvu yake ya jumla ya taifa, na ushawishi wake wa kimataifa vyote vitaimarishwa kwa kiasi kikubwa; Wastani wa Pato la Taifa wa kila mtu (per capita GDP) utafikia kiwango cha katikati cha nchi zilizoendelea; watu wake wataishi maisha ya furaha na yenye kutosheleza zaidi; na mambo ya kisasa ya kijamii yatakuwa kimefikiwa kimsingi.
Je, uko tayari? Hebu tupige hatua kuelekea 2030 pamoja!

Sikukuu ya Jadi ya Taa ya China yasherehekea mkoani Zhejiang

Kupatwa kwa mwezi kikamilifu kwashuhudiwa katika sehemu mbalimbali nchini China

"Tamasha la Maolong" la kabila la Wayilao lasherehekewa kwa ngoma ya dragoni mkoani Guizhou, China

Mji mkongwe wa Wuzhen, China wazindua shughuli mbalimbali wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma