Afrika Kusini Yafanya Maandamano Dhidi ya Uingiliaji wa Nje katika Masuala ya Ndani

(CRI Online) Machi 23, 2026

Maelfu ya watu waliandamana mjini Johannesburg, Afrika Kusini, Jumamosi, Machi 21 katika kuadhimisha Siku ya Haki za Binadamu, wakionyesha azma ya nchi hiyo katika kutetea mamlaka ya nchi na mafanikio yake ya kidemokrasia na kupinga uingiliaji wa nje. 

(Wahariri wa tovuti:Zhao Jian)

Picha