Lugha Nyingine
Rais wa mpito wa Mali achukua majukumu ya Waziri wa Ulinzi
(CRI Online) Mei 05, 2026
Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini Mali, Rais wa mpito wa nchi hiyo Assimi Goita amechukua majukumu ya Waziri wa Ulinzi na Mambo ya Askari Wastaafu.
Taarifa zaidi kuhusu muda au wigo wa mpango huo hazijapatikana kwa sasa.
Hatua hiyo imekuja baada ya Waziri wa Ulinzi wa Mali Sadio Camara, kuuawa katika mashambulizi yaliyoratibiwa mwishoni mwa mwezi uliopita. Camara aliteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Mambo ya Askari Wastaafu katika serikali iliyotangazwa Februari.
(Wahariri wa tovuti:Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



