Lugha Nyingine
Rais wa Marekani kufanya ziara China kuanzia tarehe 13 hadi 15, Mei
(CRI Online) Mei 11, 2026
Kutokana na mwaliko wa rais Xi Jinping wa China, rais Donald Trump wa Marekani atafanya ziara ya kiserikali nchini China kuanzia tarehe 13 hadi 15 Mei, alisema msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China siku ya Jumatatu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



