Rais Trump awasili Beijing kwa ziara ya kiserikali nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 14, 2026

Rais wa Marekani Donald Trump akiwasili Beijing Mei 13, 2026, kwa ziara ya kiserikali nchini China. (Xinhua/Yue Yuewei)

Rais wa Marekani Donald Trump akiwasili Beijing Mei 13, 2026, kwa ziara ya kiserikali nchini China. (Xinhua/Yue Yuewei)

BEIJING - Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Beijing jana Jumatano jioni kwa ziara ya kiserikali nchini China, kutokana na mwaliko wa Rais wa China Xi Jinping, Trump anafanya ziara hiyo nchini China kuanzia Mei 13 hadi 15.

Hii ni ziara ya kwanza ya rais wa Marekani nchini China katika miaka karibu tisa iliyopita, na ni ziara ya pili ya Trump tokea mwezi Novemba 2017.

Wizara ya mambo ya nje ya China imesema, Viongozi hao wa pande mbili watabadilishana maoni kwa kina juu ya masuala makubwa kuhusu uhusiano wa pande mbili na amani na maendeleo ya Dunia.

Trump alikaribishwa na Makamu Rais wa China Han Zheng kwenye uwanja wa ndege.

Rais wa Marekani Donald Trump akiwasili Beijing Mei 13, 2026, kwa ziara ya kiserikali nchini China. (Xinhua/Dai Tianfang)

Rais wa Marekani Donald Trump akiwasili Beijing Mei 13, 2026, kwa ziara ya kiserikali nchini China. (Xinhua/Dai Tianfang)

Rais wa Marekani Donald Trump akiwasili Beijing Mei 13, 2026, kwa ziara ya kiserikali nchini China. (Xinhua/Cai Yang)

Rais wa Marekani Donald Trump akiwasili Beijing Mei 13, 2026, kwa ziara ya kiserikali nchini China. (Xinhua/Cai Yang)

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha