Jumba la makumbusho ya katuni ya China yatazinduliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 28, 2021
Jumba la makumbusho ya katuni ya China yatazinduliwa
Jumba la makumbusho ya usanii wa katuni ya China(picha iliyopigwa kwa droni) (Picha zinatoka: Tovuti ya Shirika la Habari la Xinhua)

Jumba la makumbusho ya katuni ya China iko kwenye kando ya Ziwa Baima,mjini Hangzhou,eneo la jumba hili ni mita za mraba zaidi ya elfu 30. Jumba hili la makumbusho linahusisha maonyesho, kuhifadhi sanaa, elimu, uzoefu na taaluma. Mpangilio wake ukifuata kaulimbio ya “Katuni zafurahisha maisha zaidi”, na unahusisha maeneo makubwa manne ya “Taswira za katuni” “Kumbukumbu za katuni” “siku yako ya leo ya katuni” “siku zako za baadaye za katuni”. Jumba hili litafunguliwa siku za karibuni.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha