Mkutano wa mawasiliano ya simu wa kimataifa mwaka 2021 watazamiwa kufunguliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 29, 2021
Mkutano wa mawasiliano ya simu wa kimataifa mwaka 2021 watazamiwa kufunguliwa
(Picha zinatoka: Tovuti ya Shirika la Habari la Xinhua)

Tarehe 27, Juni, huko Barcelona, Hispania, watu wanaingia kituo cha upimaji wa joto la mwili cha mkutano wa mawasiliano ya simu wa kimataifa mwaka 2021.

Kwa kawaida, mkutano wa mawasiliano ya simu wa kimataifa hufanyika ndani ya siku 10 za mwisho za Februari huko Barcelona, mashariki kaskazini mwa Hispania, mwaka huu kwa sababu ya janga la corona, siku za kufanywa kwa mkutano huo zimebadilika kuwa kuanzia tarehe 28, Juni hadi tarehe 1, Julai. Mkutano wa mawasiliano ya simu wa kimataifa ni mkutano mkubwa zaidi wa sekta ya mawasiliano ya habari, mwaka jana kwa sababu ya mlipuko wa maambukizi ya corona , mkutano wa mawasiliano ya simu wa kimataifa mwaka 2020 umeahirishwa.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha