Mabadiliko ya muundo wa shughuli za benki za Ulaya yakabiliwa na changamoto mfululizo

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 01, 2021
Mabadiliko ya muundo wa shughuli za benki za Ulaya yakabiliwa na changamoto mfululizo
Tarehe 28, Juni, watu wanapita sanamu ya Euro huko Frankfurt, Ujerumani.
(Picha zinatoka: Tovuti ya Shirika la Habari la Xinhua)

Tokea mlipuko wa maambukizi ya corona , chini ya uungaji mkono wa sera ya fedha ya benki kuu ya Ulaya,benki mbalimbali za Ulaya zikipitia kuongeza mikopo kwa kuhakikisha mzunguko wa uchumi halisi , lakini kiwango cha faida bado kiko chini, migongano bado iko wazi katika hali ya kuwepo kwa matawi mengi ya benki, na upungufu wa uwezo wa kidigitali. Kwenye mkutano wa mambo ya fedha ya Euro wa mwaka 2021 uliofanyika tarehe 28 huko Frankfurt, wanabenki wengiwanaona kuwa, benki za Ulaya zinazobadilisha muundo wa shughuli zao bado zinakabiliwa na changamoto za kidigitali, maendeleo endelevu na matatizo mengine mfululizo, wanatoa wito wa kuharakisha kujenga Umoja wa Sekta ya Benki ya Ulaya na Umoja wa Soko la Raslimali.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha