Watoto warithiwa wa Opera ya kijadi ya Kimao

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 01, 2021
Watoto warithiwa wa Opera ya kijadi ya Kimao
Juni 29, 2021, watoto wanafanya mazoezi ya kuimba Opera ya jadi ya Kimao chini ya mafunzo ya mwalimu katika darasa la shule ya msingi ya Chongshi mjini Gaomi, mkoa wa Shandong.

Opera ya Kimao ni mchezo wa kisanaa ya jadi ya wenyeji wa mji wa Gaomi, mkoa wa Shandong, China, pia ni moja ya urithi wa utamaduni usioshikika wa kitaifa wa China. Katika miaka ya karibuni, shule ya msingi ya Chongshi ya mji wa Gaomi, mkoa wa Shandong ilianzisha darasa la Opera ya Kimao, na kufanya maonyesho ya michezo ya opera hiyo kwenye jukwaa la shuleni, na kuwaalika wasanii wa opera hiyo kuwafundisha wanafunzi shuleni, ambapo mvuto wa mchezo wa kienyeji umewafurahisha wanafunzi na kuchangia maisha yao ya baada ya masomo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha