Shanghai: Uzinduzi wa Jumba la Sanaa ya Uchoraji wa Pichala Pudong wafanyika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2021
Shanghai: Uzinduzi wa Jumba la Sanaa ya Uchoraji wa Pichala Pudong wafanyika
Tarehe 6, Julai, mtazamaji anapiga picha kwenye maonesho ya Jumba la Sanaa ya Uchoraji wa Picha” la Pudong.
(Picha inatoka: Tovuti ya Shirika la Habari la Xinhua)

Siku hiyo, uzinduzi wa Jumba la Sanaa ya Uchoraji wa Picha la Pudong ulifanyika. Jumba hilo liko karibu na Kituo cha Mikutano ya Kimataifa cha Shanghai na Mnara wa Lulu wa Mashariki. Eneo la Jengo kuu la jumba hili ni la mita za mraba zaidi ya elfu 13, na eneo la jumla la jumba hili ni karibu mita za mraba elfu 40. Ndani ya jumba hili kuna makumbi 13, eneo la maonyesho ni mita za mraba zaidi ya elfu 10. Jumba hili litafunguliwa rasmi kwa umma tarehe 8, Julai.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha