China yafaulu kurusha satelaiti E ya Tianlian No.1

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 13, 2021

(Picha inatoka Tovuti ya Gazeti la China Xinhua)

Saa 5:53 usiku wa Tarehe 6, Julai, China imefaulu kurusha satelaiti E ya Tianlian No.1 kwa maroketi ya C ya Changzheng No.3 kwenye obiti iliyopangiwa kwenye anga ya juu kutoka kituo cha kurusha satelaiti ya Xichang. Kazi hii ya kurusha satelaiti imefanikiwa vizuri.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha