Huaihua, mkoa wa Hunan: Mandhari nzuri ya majira ya joto mashamba ya kingazi yanafunikwa mawinguni, hali ilivyo kama peponi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 16, 2021
Huaihua, mkoa wa Hunan: Mandhari nzuri ya majira ya joto mashamba ya kingazi yanafunikwa mawinguni, hali ilivyo kama peponi

Baada ya mvua, kijiji cha Bucun cha Tarafa ya kabila ya wayao katikawilaya ya Chenxi ya Huaihua, mkoa wa Hunan, mashamba ya kingazi, nyumba za wakazi na milima ya rangi ya kijani vinafunikwa mawinguni, hali inaonekana kama peponi.

Mwanga wa jua ya jioni unapitia mawingu kuangaza kijiji cha Bucuncha Tarafa ya kabila ya wayao katika ghuba ya Xianren, na kupaka kila kitu cha hapa rangi ya kidhahabu. Baada ya mawingu kutoweka, wakati huo kama umedumu, mahali pazuri kama peponi panaonekana wazi na kuwavutia sana watu.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha