Vyakula vya wadudu ndani ya msitu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 04, 2021
Vyakula vya wadudu ndani ya msitu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati
Watu wenyeji wa huko wanafanya biashara ya wadudu.

Kila masika inapoanza katika Jamhuri ya Afrika ya Kati , wakazi wa eneo la Lobaye wanaingia msituni kutafuta wadudu. Baada ya kuwachemsha kwa kutwa moja, watu watakula wadudu hao wenye rangi mbalimbali wakati wa chakula cha jioni.

Kwa wakazi wanaoishi katika hali isiyo na vyakula vya kutosha, si kama wadudu wakiwa chakula wanaweza kuwashibisha tu, bali wadudu ni chanzo cha mali. Katika wakati wa masika, kila siku wafanyabiasha wanapanda bodaboda kwenda huko Lobaye kutoka Bangui, mji mkuu wa nchi hiyo, ili kununua wadudu waliokamatwa na wakazi wa huko, halafu wakauza wadudu hao kwa wateja wa mji mkuu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha