Jimbo linalojiendesha la kabila la watibet la Yushu, Qinghai yaadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa kwake (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2021
Jimbo linalojiendesha la kabila la watibet  la Yushu, Qinghai yaadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa kwake
(Picha zinatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Tarehe 4, Agosti, watu wenyeji wanafanya mashindano ya jadi ya mbio za farasi kwenye mkutano wa maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Jimbo linalojiendesha la kabila la watibet la Yushu.

Siku hiyo Mkutano wa maadhimisho ya miaka 70 ya Jimbo linalojiendesha la kabila la watibet la Yushu la mkoa wa Qinghai, China ulifanywa huko Yushu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha