Watu wanaojitolea kwenye maeneo ya karantini mjini Nanjing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2021
Watu wanaojitolea kwenye maeneo ya karantini mjini Nanjing
(Picha ilipigwa na Ruan Zhong)

Makazi ya Jiqing Jiayuan na Makazi ya Siyuan katika mtaa wa Nanyuan wa Eneo la Jianye jijini Nanjing ni yenye hatari ya ngazi ya kati ya maambukizi ya virusi vya corona, na yamefungwa kwa usimamizi kwa siku nyingi. Mboga na mahitaji ya kila siku ya wakazi vinapelekwa na watu wanaojitolea. Majengo kadha wa kadha kwenye makazi hayo hayana lifti, watu wanaojitolea wakiwa wanavaa mavazi ya kukinga virusi wanapanda ngazi kupeleka vyakula, halafu wanaondoka na takataka za kila nyumba.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha