Maeneo kumi bora ya China ya thamani ya jumla ya uzalishaji katika nusu ya kwanza ya mwaka

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2021

Kutokana na ripoti ya Gazeti la Umma, miongoni mwa mikoa, miji, na mikoa inayojiendesha 31 iliyotoa takwimu za pato la taifa katika miezi sita ya kwanza, mikoa, miji, na mikoa inayojiendesha 11 ambayo pato lao la taifa katika nusu ya kwanza ya mwaka huu limepita Yuan za Renminbi trilioni 2.

Pato la taifa la mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, limefikia Yuan trilioni 5.72, lilichukua nafasi ya kwanza. Pato la taifa la mkoa wa Jiangsu na mkoa wa Shandong, yamefikia Yuan trilioni 5.52 na Yuan trilioni 3.89, yamechukua nafasi ya pili na ya tatu.

Mikoa kumi bora ya pato la taifa katika nusu ya kwanza ya mwaka huu ni kama ifuatavyo.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha