Roketi ya Yao D ya Changzheng No.7 yawasilishwa salama kwenye uwanja wa kurusha satelaiti ya Wenchang (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2021
Roketi ya Yao D ya Changzheng No.7 yawasilishwa salama kwenye uwanja wa kurusha satelaiti ya Wenchang
Roketi ya Yao D ya Changzheng No.7 imewasilishwa kwenye uwanja wa kurusha satelaiti ya Wenchang. Picha ilipigwa na Xiao Yukun.

Ofisi ya mradi wa China wa kupeleka chombo kinachobeba watu cha safari kwenye anga ya juu ilitoa habari zikisema, roketi ya Yao D ya Changzheng No.7 ambayo itapeleka chombo cha kubeba mzigo Tianzhou No.3 kwenye anga ya juu imekamilishwa kazi zote za utafiti na utengenezaji, na kuwasilishwa salama kwenye uwanja wa kurusha satelaiti ya Wenchang Agosti 16, 2021 ya saa za Beijing.

Roketi ya Yao D ya Changzheng No.7 na chombo cha kubeba mzigo cha safari kwenye anga ya juu cha Tianzhou No.3 vitaanza kufanyiwa kazi ya kufungwa na kufanyiwa majaribio kwa mpango uliowekwa kwenye eneo la uwanja wa kurusha satelaiti.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha