Mavuno ya kufurahisha yaonekana Jinping mkoani Guizhou

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 23, 2021
Mavuno ya kufurahisha yaonekana Jinping mkoani Guizhou
Picha ilipigwa na Yang Xiaohai.(tovuti ya picha ya umma)

Siku hizi, wakulima wa wilaya ya Jinping ya jimbo linalojiendesha la makabila ya Wamiao na Watong la sehemu ya kusini mashariki mwa mkoa wa Guizhou walipata mavuno ya mazao mbalimbali waliyopanda kama vile mahindi na pilipili. Wakulima wa huko walitumia hali nzuri ya hewa kukausha mazao, hali ambayo kama imechora picha moja moja ya mavuno kwenye uwanja wa kukausha mazao ya kilimo kijijini.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha