Korongo wacheza kwenye uwangja wa juu hali ya viumbe yaendelea vizuri mkoani Tibet (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 24, 2021
Korongo wacheza kwenye uwangja wa juu  hali ya viumbe yaendelea vizuri mkoani Tibet
Korongo anakaa kwa masikilizano pamoja na mkulima.
(Picha iliyopigwa na Luan Yali na Cao Yuqing)

Huko Tibet, mbuga wa Qiangtang unaoenea kutoka kiini cha wilaya za Naqushenzha na Bange ni sehemu muhimu ya kuzaliana kwa korongo wenye shingo nyeusi. Kuanzia mwanzoni mwa mwezi Aprili wa kila mwaka, korongo wenye shingo nyeusi wanaingia katika kipindi cha kuzaliana. Wakati wa Agosti, ni majira yenye mandhari nzuri zaidi kwenye uwanja wa juu, pia ni wakati wa kujifunza kwa korongo wadogo wakifuata korongo wazima.

Katika miaka hii ya karibuni, kutokana na kuimarisha kazi ya kulinda wanyamapori na sehemu wanayokaa, kuongezeka kurudi katika hali ya zamani kwa idadi na aina ya wanyamapori ni dhahiri mkoani Tibet, miongoni mwao, korongo wenye shingo nyeusi wameongezeka kwa zaidi ya 8000 kutoka chini ya 3000.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha