

Lugha Nyingine
Mji wa Zhengzhou warudia katika hali ya kawaida ya uzalishaji na maisha (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 25, 2021
Idara ya hali ya hewa ilisema, hivi sasa mvua kubwa iliyonyesha huko Zhengzhou imeisha. Tarehe 23, makao makuu ya uongozi wa kazi ya kupambana na maafa ya mafuriko na ukame iliamua kuwa, kuanzia saa tisa mchana tarehe 23, Agosti, mji huo umeanza kurudia katika hali ya kawaida ya uzalishaji na maisha kwa utaratibu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma