Rasilimali ya utamaduni yasukuma mbele ujenzi wa kijiji cha kupendeza cha Luquan mjini Shijiazhuang

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2021

 

Kijiji cha Shuiyu cha eneo la Luquan mjini Shijiazhuang kiko kwenye mashariki ya sehemu ya chini ya Milima Taihang, hadi sasa kijiji hicho kimekuwa na historia zaidi ya miaka 1000 na kilikuwa kimoja kati ya vijiji vya jadi vya China vilivyochaguliwa kwa mara ya kwanza. Katika miaka ya karibuni iliyopita, kijiji cha Shuiyu kimesukuma mbele ujenzi wa kijiji cha kupendeza kwa kutegemea rasilimali ya utamaduni na eneo lake zuri la kijioglafia, ambapo kinatafuta njia mpya ya kuendeleza utamaduni na utalii kijijini kwenye msingi wa kulinda mazingira ya asili ili kuwasaidia wanakijiji wapate mapato zaidi.(Picha ilipigwa na Xu Jianyuan.)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha