

Lugha Nyingine
Eneo la Shamba kubwa la Beidahuang mkoani Heilongjiang: mpunga wa maji uliokomaa wafungua msimu wa mavuno wa majira ya mpukutiko (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 07, 2021
Kwenye shamba la Jiangchuan la Eneo la Shamba kubwa la Beidahuang mkoani Heilongjiang, kwa kufuata sauti ya “Anza kufyeka”, mashine inayojiendesha ya kufyeka na kuanika inaanza kufanya kazi kwenye shamba la mpunga wa dhahabu. Siku hizi, mipunga ya aina mbalimbali kwenye Sahmba kubwa la Beidahuang meingia msimu wa mavuno, eneo kubwa la shamba linatazamiwa kupata mavuno makubwa. Picha ilipigwa na Liu Shuaiye (Tovuti ya Picha ya Umma)
(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma