Wilaya ya Wuxi, mkoani Chongqing: kilimo cha viazi chapewa “mabawa ya kiteknolojia” (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 07, 2021
Wilaya ya Wuxi, mkoani Chongqing: kilimo cha viazi chapewa “mabawa ya kiteknolojia”

Tarehe 2, Septemba, katika kituo cha kupanda viazi vilivyotolewa sumu cha wilaya ya Wuxi, fundi anarekodi joto la chumba cha kuhifadhi chupa za kuwekea miche ya majaribio ya viazi vilivyotolewa sumu. Katika miaka hii ya karibuni, wilaya ya Wuxi mkoani Chongqing inatumia nguvu kubwa kuendeleza kilimo cha viazi, kwa kupitia kuingiza aina mpya ya viazi na kueneza uzalishaji wa viaizi vilivyotolewa sumu, ubora na kiwango vya utoaji wa viazi vimeongezeka kwa ufanisi. Picha ilipigwa na mwandishi wa habari wa Shirika la Habari la China Xinhua, Huangwei.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha