“Teknolijia za akili bandia” kwenye Maonyesho ya Uchumi wa Dijiti wa Kimataifa wa China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 08, 2021
“Teknolijia za akili bandia” kwenye Maonyesho ya Uchumi wa Dijiti wa Kimataifa wa China

Maonyesho ya Uchumi wa Dijiti wa Kimataifa wa China ya 2021 yalifanyika huko Shijiazhuang mkoani Hebei kuanzia tarehe 6 hadi 8, ambapo kampuni 468 zilishiriki kwenye maonyesho hayo, na kampuni nyingi maarufu za sekta ya uchumi wa dijiti za nchini na ng’ambo zilikusanyika kwenye maonesho hayo, na kuonesha matokeo mengi ya “teknolojia za akili bandia ”.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha