Sehemu kadha wa kadha za Tajikistan zafanya gwaride kusherehekea miaka 30 tangu ipate uhuru (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2021
Sehemu kadha wa kadha za Tajikistan zafanya gwaride kusherehekea miaka 30 tangu ipate uhuru
Hii inaonesha hali ya hafla ya gwaride iliyofanyika huko Dushanbe.

Siku hiyo, Tajikistan ilifanya gwaride kwa shangwe katika sehemu mbalimbali nchini humo kusherehekea miaka 30 tangu ipate uhuru. Habari zilitolewa na Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.(Picha zilitoka Ikulu ya Tajiksitan.)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha