Meli kubwa ya kwanza inayotengenezwa na China inavyoonekana kutoka angani (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 10, 2021
Meli kubwa ya kwanza inayotengenezwa na China  inavyoonekana kutoka angani

Usiku wa tarehe 7, Septemba, tazama kutoka angani meli kubwa ya kwanza inayotengenezwa na China. Siku hizihabari zilizotokana na kampuni ya kuunda meli ya Waigaoqiao ya Shanghai, ambayo ni kampuni chini ya kundi la meli la China zilisema kuwa, kazi ya kuunganisha umbo kuu la meli kubwa itaingia hatua ya mwisho mwei huu. (Picha iliyopigwa kwa droni) Mpiga picha wa Shirika la Habari la China, Yin Liqin.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha