Mabaki ya kale ya Sanxingdui yaliyogunduliwa siku hizi yaonesha uwezo wa uvumbuzi katika zama za kale za China (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 10, 2021
Mabaki ya kale ya Sanxingdui yaliyogunduliwa siku hizi yaonesha uwezo wa uvumbuzi katika zama za kale za China
(Shirika la Habari la China Xinhua/Wang Xi)

Katika miezi hii ya karibuni, mabaki ya kale zaidi ya 500 yaligunduliwa kwenye magofu ya ajabu ya Sanxingdui, mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China, wanaakiologia walishangazwa na thamani yao ya kihistoria na uwezo wa uvumbuzi.

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha