Ujerumani yafungua tena ubalozi wa Ujerumani nchini Libya (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 10, 2021
Ujerumani yafungua tena ubalozi wa Ujerumani nchini Libya
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas jana Septemba 9 alipofanya ziara huko Tripoli, Libya alitoa hotuba. Ubalozi wa Ujerumani nchini Libya umefunguliwa tena. (Picha ilipigwa na Hamza Turkia/ Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Alhamisi Waziri wa Mambo ya Nje ya Ujerumani Heiko Maas alitangaza kuwa ubalozi wa Ujerumani ulioko Tripoli, mji mkuu wa Libya umefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa miaka mingi. 

Waziri huyo alisema, " tukio hili linatokea kwenye msingi wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizi mbili na kuongeza juhudi zetu za kuwasaidia Walibya kujenga siku zao nzuri zaidi za baadaye. Ujerumani bado ni mwenzio wa kithabiti wa ushirikiano na itaendelea kufanya juhudi kwa ajili ya amani ya Libya".

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha