Kitoto wa Panda wakua vizuri (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 13, 2021
Kitoto wa Panda wakua vizuri

Septemba 10, 2021, katika Hifadhi ya Panda ya Wolong mkoani Sichuan, kitoto cha panda mwenye uzito zaidi kati ya panda wanaofugwa duniani anakua vizuri chini ya uangalifu wa mama yake. Sasa uzito wa kitoto huyo cha panda umefikia gramu 2850, na ukuaji wa mwili wake na matendo yake ni mzuri. Picha ilipigwa na He Shengshan(Tovuti ya picha ya umma)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha