Mkutano wa roboti duniani 2021 wafanyika Beijing. (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 14, 2021
Mkutano wa roboti duniani 2021 wafanyika Beijing.
Vifaa vya akili bandia

Mkutano wa roboti duniani 2021 ulifanyika Beijing kuanzia Septemba 10 hadi 13. Viwanda na taasisi za utafiti zaidi ya 110 vilileta zaidi ya bidhaa 500 kwenye maonyesho.(Shirika la Habari la China Xinhua/Mpiga picha Li Xin)

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha