Teknolojia ya China yasaidia kuhimiza mchakato wa kisasa wa kilimo cha Uganda (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2021
Teknolojia ya China yasaidia kuhimiza mchakato wa kisasa wa kilimo cha Uganda

Mwaka 2014, kampuni za China zilianza kuhuisha kilimo kwenye sehemu ya ardhi iliyo karibu na bahari ya yenye udongo uliotuama huko Lucaya. Sasa kuna hekta elfu 10 ya mashamba mazuri ya kilimo na zimejenga mashamba ya kisasa mbalimbali.

Tokea mwaka 2012, China imepelekea wataalam na mafundi wa kilimo nchini Uganda chini ya mfumo wa ushirikiano wa Kusini-Kusini wa FAO. Mhusika wa Wizara ya kilimo ya Uganda alisema, hadi kukamilishwa kwa mradi wa kipindi cha pili, wakulima 3000 hivi wa Uganda walipata mafunzo kuhusu uzalishaji wa nafaka, ustadi wa kilimo cha bustani, na ufugaji. Katika kipindi cha tatu, wataingiza zaidi teknolojia, uvumbuzi na uzoefu wa usimamizi wa China, kupanua uzalishaji wa kilimo na kuyafanya mazao ya kilimo yawe ya kibiashara. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha