Rais Xi Jinping afanya ziara ya ukaguzi huko Suide, mjini Yulin (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2021
Rais Xi Jinping afanya ziara ya ukaguzi huko Suide, mjini Yulin
(Picha zinatoka tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Septemba 14, Katibu Mkuu Xi Jinping alipofanya ukaguzi katika Wilaya ya Suide ya Mji wa Yulin, alitembelea mahali iliko zamani Kamati ya Chama ya eneo la Suide, pia alitembelea Shule ya majaribio ya Suide, Jumba la Makumbusho ya mabaki ya utamaduni usioshikika la Wilaya ya Suide, na Kijiji cha Haojiaqiao cha Wilaya ya Zhangjiabian, ambapo alikugua hali ya sehemu hizo kuhusu kuenzi desturi za fahari za Chama, kuhimiza wanafunzi wakue kwa pande zote na kwa afya njema, kuhimiza kazi ya kuhifadhi na kurithi utamaduni wa jadi, na kuhimiza ustawishaji wa vijiji kwa pande zote.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha