Maonyesho ya 28 ya vitabu ya kimataifa ya Beijing yafunguliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 16, 2021
Maonyesho ya 28 ya vitabu ya kimataifa ya Beijing yafunguliwa
Tarehe 14, Septemba, wasomaji walitembelea kwenye eneo la vitabu vizuri katika maonyesho ya vitabu ya kimataifa.

Siku hiyo, Maonyesho ya 28 ya vitabu ya kimataifa ya Beijing yalifunguliwa Beijing. Wafanyabiashara 2200 hivi waliotoka nchi na maeneo 105 walishiriki kwenye maonyesho hayo, miongoni mwao, kuna nchi na maeneo 57 ambazo ziko kwenye “Ukanda Mmoja, Njia Moja” na vitabu vizuri vipatavyo laki 3 vya duniani kote vinaoneshwa kwenye maonesho hayo. Maonyesho hayo yanafanyika kwa njia ya video na pia kwenye ukumbi wa nyumba, na yamekuwa maonyesho ya kwanza ya vitabu ya kimataifa yaliyoanza kufanyika tena kwa njia ya video na kwenye ukumbi wa nyumba chini ya athari ya maambukizi ya virusi vya Corona. Mpiga picha Ju Huanzong wa Shirika la Habari la China Xinhua.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha