RV iliyoendeshwa kwa nishati ya jua yaonekana kwanza huko Brussels, Ubelgiji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 22, 2021
RV iliyoendeshwa kwa nishati ya jua yaonekana kwanza huko Brussels, Ubelgiji
Hii ni Stella Vita, gari la nyumba linaloendeshwa kwa nishati ya jua. Picha ilipigwa katika Bustani ya Le Parc Cinquantaine huko Brussels, Ubelgiji.

Stella Vita ni gari la nyumba linaloendeshwa kwa nishati ya jua ambalo lilibuniwa na timu ya nishati ya jua ya Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Eindhoven cha Uholanzi. Mhusika alisema, gari hilo linaweza kudumisha uendeshaji wa kilomita 730 chini ya hali ya hewa nzuri.

Mpiga picha Zhang Cheng wa Shirika la Habari la China Xinhua.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha