Shughuli za kusherehekea Sikukuu ya Mwezi zafanyika katika Mji wa China huko London

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 22, 2021
Shughuli za kusherehekea Sikukuu ya Mwezi zafanyika katika Mji wa China huko London
Tarehe 19, Septemba, watu wanatazama shughuli za kusherehekea Sikukuu ya Mwezi mjini London, Uingereza.

Siku hiyo, shughuli za kusherehekea Sikukuu ya Mwezi zilifanyika kwenye Mji wa China huko London, Uingereza.

Habari zilitolewa na Shirika la Habari la China Xinhua. (Picha ilipigwa na Tang Rey.) 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha