Majadiliano ya kawaida ya mkutano mkuu wa 76 wa Umoja wa Mataifa yafunguliwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2021
Majadiliano ya kawaida ya mkutano mkuu wa 76 wa Umoja wa Mataifa yafunguliwa
Tarehe 21, Septemba, katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa yaliyoko New York, katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Guterres alitoa risala kwenye ufunguzi wa majadiliano ya kawaida ya mkutano mkuu wa 76 wa Umoja wa Mataifa.

Tarehe 21, majadiliano ya kawaida ya mkutano mkuu wa 76 wa Umoja wa Mataifa yalifunguliwa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, mjini New York. Marais wa taifa, viongozi wa serikali na wakilishi mwandamizi zaidi ya 100 watapitia njia ya video au kuja hapahapa kutoa taarifa, kujadiliana sera ya kukabiliana na changamoto kubwa zilizokabiliwa na binadamu kwa pamoja, ambazo zikiwemo janga la corona, changamoto ya hali ya hewa, ufufukaji endelevu, na hali ya kibinadamu.

Mpiga picha ni mwandishi wa habari wa Shirika la Habari la China Xinhua, Wang Ying

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha