Mabaki ya kale ya utamaduni yanayohusu Confucius yaoneshwa Shandong, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2021
Mabaki ya kale ya utamaduni yanayohusu Confucius yaoneshwa Shandong, China
(Picha zinatoka ChinaDaily.)

Jumba la Makumbusho la Confucius la Qufu la mkoa wa Shandong limeonesha mabaki ya kale zaidi ya 370 yanayohusu Kitabu cha Lunyu, ambacho ni mkusanyiko wa falsafa ya Confucius na mafunzo yake.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha