Vipeperushi vya Matangazo ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya mwaka 2022 vyatolewa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2021
Vipeperushi vya Matangazo ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya mwaka 2022 vyatolewa

Tarehe 22, Septemba, vipeperushi vya matangazo ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 vilitolewa kwenye hafla ya ufunguzi wa Wiki ya ubunifu ya kimataifa ya Beijing.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha