Umoja wa Mataifa waitisha mkutano wa ngazi ya juu wa kuadhimisha miaka 20 tangu kupitishwa kwa “Azimio la Durban na Mpango wa Utekelezaji” (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2021
Umoja wa Mataifa waitisha mkutano wa ngazi ya juu wa kuadhimisha miaka 20 tangu kupitishwa kwa “Azimio la Durban na Mpango wa Utekelezaji”
Tarehe 22, Septemba, kwenye makao makuu ya UN huko New York, rais Cyril Ramaphosa alitoa hotuba kwa njia ya video.
(Picha zinatoka Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.)

Tarehe 22, Baraza kuu la Umoja wa Mataifa liliitisha mkutano wa ngazi ya juu ili kuadhimisha miaka 20 tangu kupitishwa kwa “Azimio la Durban na Mpango wa Utekelezaji”. Mkutano huo ulipitisha azimio la kisiasa la “kushikamana na kupambana na ubaguzi wa rangi, chuki dhidi ya watu wa nchi nyingine na vitendo husika visivyotakiwa”.

Waziri wa Mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi alihudhuria mkutano huo kwa njia ya video na kutoa hotuba.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha