Mapacha wengine wa panda wazaliwa huko Bustani ya wanyama ya Chongqing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2021
Mapacha wengine wa panda wazaliwa huko Bustani ya wanyama ya Chongqing
Tarehe 23, Septemba, wafanyakazi wa Bustani ya wanyama ya Chongqing waliangalia vichanga mapacha wa panda kwenye chumba cha kutunza vitoto vichanga wa panda.

Tarehe 23, Septemba, vichanga mapacha wa panda wa Bustani ya wanyama ya Chongqing walijitokeza kwa mara ya kwanza. Mhusika alisema, mapacha hawa walizaliwa tarehe 13, Septemba ambao mmoja ni wa kike, mwingine ni wa kiume. Hao ni mapacha wa pili wa vitoto vichanga wa panda waliozaliwa mwaka huu kwenye bustani hiyo.

Mpiga picha Tang Yi wa Shirika la Habari la China Xinhua. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha