Tamasha Kubwa la Hamburger lafanyika Bejing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2021
Tamasha Kubwa la Hamburger lafanyika Bejing

Hamburger ni chakula cha asili cha nchi za Magharibi, lakini hapa China inakaribishwa sana vilevile. Tarehe 19 hadi 21 Septemba, yaani wakati wa Sikukuu ya Mwezi, tamasha kubwa la hamburger la mwaka 2021 lilifanyika Beijing. Migahawa na hoteli za nyota tano zaidi ya 40 zilileta vyakula maalum vya aina ya hamburger.

Chakula hakijawahi kuwagawa watu kutokana na mipaka yao, katika tamasha hilo la Hamburger watu kutoka sehemu mbalimbali za dunia walijistarehesha na vyakula vitamu, vinywaji na muziki. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha