Majukwaa ya maua yaonekana kwenye Barabara ya Chang’an Beijing kukaribisha sikukuu ya taifa ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2021
Majukwaa ya maua yaonekana kwenye Barabara ya Chang’an Beijing kukaribisha sikukuu ya taifa ya China

Tarehe 24, Septemba, majukwaa 10 ya maua yameonekana kwenye Barabara ya Changan s ya Beijing, kukaribisha sikukuu ya taifa ya China. Mpiga picha Du Jianpo (Tovuti ya picha ya Umma)

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha