Shambulizi la kujitoa mhanga kwa bomu lililotegwa kwenye gari mjini Mogadishu, Somalia lasababisha vifo vya watu saba na tisa kujeruhiwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2021
Shambulizi la kujitoa mhanga kwa bomu lililotegwa kwenye gari mjini Mogadishu, Somalia lasababisha vifo vya watu saba na tisa kujeruhiwa
Shambulizi la kujitoa mhanga kwa bomu lililotegwa ndani ya gari mjini Mogadishu, Somalia. Picha ilipigwa tarehe 25, Septemba.

Polisi wa Somalia wamesema shambulizi la kujitoa mhanga kwa bomu lililotegwa ndani ya gari limetokea karibu na ikulu ya Mogadishu, Somalia. Shambulizi hilo limesababisha vifo vya saba na wengine tisa kujeruhiwa.

Habari zilitolewa na Shirika la Habari la China Xinhua (Picha ilipigwa na Hassan Bashi)  

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha